Mamia ya wananchi wa Kijiji cha Kisanga na maeneo ya jirani waliojitokeza katika maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano ngazi ya Mkoa wa Iringa |
Baadhi ya mamia ya wananchi wa Kijiji cha Kisanga na maeneo ya jirani waliojitokeza katika maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano ngazi ya Mkoa wa Iringa
Wakuu wa Idara na mashirika mbalimbali waliohudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania ngazi ya Mkoa yaliyofanyika wilayani Mufindi
Kwaya ya KKKT Kisanga ilitumbuiza
Kwaya ya Wanafunzi wa shule ya Msingi Kisanga wakiimba wimbo wa miaka 50 ya Muungano
Wanafunzi wa shule ya msingi Kisanga akipiga mgoma
Kwaya ya Nzivi ikitumbuiza
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, Paul Ntinika akipangua Mashairi kuhusu umuhimu wa miaka 50 ya Muungano
Kwaya ya KKKT- Kisanga ilitumbuiza
Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ambaye pia ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Iringa, Scolastica Mlawi akisoma Hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa
Scolastica Mlawi akisisitiza jambo katika maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano
Pongezi baada ya Hotuba nzuri
Mheshimiwa Diwani akitoa shukrani baada ya maadhimisho
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni