Jumatatu, 30 Juni 2014

MAPOKEZI YA RAIS MSTAAFU BEN MKAPA

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt Christine Ishengoma (kushoto) akimkaribisha Rais mstaafu Benjamin Mkapa mkoani Iringa

Katibu Tawala Mkoa wa Iringa Wamoja Ayubu akimkaribisha Rais mstaafu Ben Mkapa

Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Iringa

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Augustino Nyenza akimkaribisha Mzee Mkapa

Viongozi wa dini

Mtawa wa kikatoliki ambaye jina lake halikufahamika kwa mara moja

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Habari zinazoendelea hivi sasa

SERIKALI KUWEZESHA VIJANA KUKOPA

Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa Serikali itaendelea kuwawezesha vijana kwa kuwatengenezea mazingira mazuri ya mikopo ili waweze k...