Jumamosi, 14 Juni 2014

MATUKIO KATIKA PICHA YA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI - IRINGA

Meneja wa Takwimu Mkoa wa Iringa, Fabian Fundi aiichangia damu kwa hiari

Msafara wa mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, kutoka kulia ni Mkurugenzi wa VETA kanda, Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Iringa Gerald Guninita, Mkurugenzi Mtendaji (W) Mufindi, na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Iringa

Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Iringa akikagua mabanda ya maonesho



Meneja wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama kanda ya nyanda za juu kusini Dkt. Kokuhaba Mukurasi (kulia)


Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Robert Salim

Jukwaa kuu

Vyeti kwa makundi yaliyochangia damu nyingi

Wananchi waliojitokeza katika kilele cha siku ya kuchangia damu kwa hiari

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Gerald Guninita

Baadhi ya viongozi waliohudhuria kilele

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Habari zinazoendelea hivi sasa

SERIKALI KUWEZESHA VIJANA KUKOPA

Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa Serikali itaendelea kuwawezesha vijana kwa kuwatengenezea mazingira mazuri ya mikopo ili waweze k...