Jumamosi, 14 Juni 2014

MATUKIO KATIKA PICHA YA UPOKEAJI WA VIFAA TIBA TOKA HOSPITALI YA VICENZA - ITALIA

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Christine Ishengoma alipowasili katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa

Baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa wakiwa katika picha ya msafara wa mkuu wa mkoa

Kuelekea katika kukabidhiwa vifaa tiba

Zoezi la kukabidhi vifaa tiba


Mganga Mfawidhi wa hospitali ya rufaa akifafanua jambo kwa Mkuu wa Mkoa


Mashuhuda wa tukio hilo

Mashuhuda wa makabidhiano

Mashuhuda

Dkt. Oscar Banzato


Katibu Tawala Mkoa wa Iringa Wamoja Ayubu akitoa salamu

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Christine Ishengoma

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Habari zinazoendelea hivi sasa

SERIKALI KUWEZESHA VIJANA KUKOPA

Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa Serikali itaendelea kuwawezesha vijana kwa kuwatengenezea mazingira mazuri ya mikopo ili waweze k...