PICHA ZA MKUTANO WA MKUU WA MKOA NA VYOMBO VYA HABARI
| Afisa Habari (M) Iringa, Dennis Gondwe akitoa maneno ya utangulizi kwa waandishi wa habari wa Mkoa wa Iringa kuhusu mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Iringa |
| Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Christine Ishengoma akisoma Taarifa ya maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoani Iringa |
| Mwandishi wa Habari wa Redio Overcomers Agustino Kihombo akifuatilia mkutano huo |
| Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Iringa wakifuatilia mkutano |
| Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Iringa |
| Waandishi wa Mkoa wa Iringa |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni