Jumanne, 30 Desemba 2014

RC IRINGA KUKABIDHI MABATI KWA HALMASHAURI KUKAMILISHA MAABARA

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Amina Masenza kubadhi Mabati kwa Halmashauri zote za Mkoa wa Iringa kwa lengo la kuziongezea nguvu katika kukamilisha ujenzi wa Maabara. Tukio hilo la wazi litafanyika katika viunga vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Saa 6:00 Mchana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Habari zinazoendelea hivi sasa

SERIKALI KUWEZESHA VIJANA KUKOPA

Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa Serikali itaendelea kuwawezesha vijana kwa kuwatengenezea mazingira mazuri ya mikopo ili waweze k...