Alhamisi, 16 Julai 2015

AMINA MASENZA AOMBA USHIRIKIANO NA MSHIKAMANO

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Bibi. Amina Masenza amewaomba ushirikiano viongozi wa dini na wananchi waliojitokeza katika FUTARI aliyowaandalia hivi karibuni.

Katita Salamu zake baada ya kuwashukuru kwa kujitokeza kushiriki FUTARI hiyo aliwaomba viongozi wao wa dini za Kiislam na Kikristo USHIRIKIANO NA MSHIKAMANO katika kufanikisha majukumu ya Serikali.

FUTARI hiyo iliandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa katika viwanja vya Ikulu Ndogo mjini Iringa.

Swala ya jioni ikiendelea

Futari ikiendelea

Futari ikiendelea

Futari ikiendelea

Upande wa pili nako

Umma ukisikiliza ujumbe wa Mkuu wa Mkoa

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza  (kulia) na Katibu Tawala Mkoa wa Iringa Wamoja Ayubu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Habari zinazoendelea hivi sasa

SERIKALI KUWEZESHA VIJANA KUKOPA

Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa Serikali itaendelea kuwawezesha vijana kwa kuwatengenezea mazingira mazuri ya mikopo ili waweze k...